UTAMADUNI DAY . . . . . #culturalday #utamaduni #madeinkenya🇰🇪 #mademen https://www.instagram.com/p/CjhMEiWo0Ty/?igshid=NGJjMDIxMWI=
seen from Türkiye
seen from China
seen from Netherlands

seen from United States

seen from United States
seen from China
seen from Netherlands
seen from China
seen from China
seen from China

seen from France

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from South Africa
seen from United States

seen from China
seen from United States
seen from Singapore
seen from United States
UTAMADUNI DAY . . . . . #culturalday #utamaduni #madeinkenya🇰🇪 #mademen https://www.instagram.com/p/CjhMEiWo0Ty/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Nachukia matumizi ya maneno ya Kiingereza, au ya lugha nyingine yoyote ile ya kigeni kwa mantiki hiyo, yenye tafsiri yake kwa Kiswahili, au yale yanayoweza kutafsiriwa kwa Kiswahili. Mathalani: kama neno la Kiingereza lina tafsiri yake kwa Kiswahili, au linaweza kutafsiriwa kirahisi katika lugha ya Kiswahili, kwa nini usiliandike neno hilo kwa Kiswahili? Kwa nini Mswahili aseme England wakati kuna tafsiri ya neno hilo kwa Kiswahili ambayo ni Uingereza? - Au kwa nini Mswahili aseme Corona wakati anaweza kulitafsiri neno hilo kirahisi kwa Kiswahili hata kwa makusudi tu? Matumizi ya lugha ya namna hiyo ni utumwa wa kilugha. Hata kama lugha yako ya taifa inaonekana ya kishamba, au baadhi ya maneno hayatamkiki vizuri kama unavyotaka yatamkike, tambua kwamba hiyo ndiyo lugha uliyopewa na Mungu. Kama imeshindikana basi onesha kwa funga na fungua semi kuwa neno fulani ni la kigeni. Enock Maregesi, mwandishi wa Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu #kiswahili #lugha #languages #utamaduni #culture https://www.instagram.com/p/B-9iQlYHiAx/?igshid=rismb3diy3ha
Tujifunze kuupenda utamaduni wetu kwa usumbufu wa vizazi vijavyo … Kiswahili kinapotea! #kiswahili #swahili #utamaduni #culture #vizazivijavyo #futuregenerations https://www.instagram.com/p/B2XZhqYB6ee/?igshid=bbdsz2jfvggh
Ninaomba Mnijuze
Zipo wapi zama zile, zama zile za zamani, Zamani zile za kale, mbona sasa sizioni, Sizioni hata kule, siulizi kwa utani, Zipo wapi zama zile, ninaomba nijuzeni. ~Utunzi wa Kinyafu Marcos #Mwanagenzi
Zipo wapi zama zile, zama zile za zamani, Zamani zile za kale, mbona sasa sizioni, Sizioni hata kule, siulizi kwa utani, Zipo wapi zama zile, ninaomba nijuzeni.
Tulipewa visa kale, na hadithi za kubuni, Walobuni visa vile, wapo wapi nambieni, Walitoa visa tele, tele iso na kifani, Zipo wapi zama zile, ninaomba nijuzeni.
Walokuwa nazo ndwele, walienda vilingeni, Walichanjwa nyingi chale, chale hadi…
View On WordPress
#zoemuthoga such amazing art 👌🏽#artattack #artalive #feather #warrior #blackmagic #Calling #greatness #blackgirlmagic #blackboymagic #Kenya #KENYAN #kente #beads #shanga #methali #swahili #utamaduni #welcometothetribe #afrock #afropunk #okayafrica #tafrija #kiambu #melanin.
Tulia traditional dances festival. Our coordinators on Nyakyusa traditional appearance. #tradition #dance #traditionaldance #utamaduni #mbeya #tanzania #uyoleculturaltourismenterprises #uyolecte #eastafrica #africa #ngoma #ngomazaasili #tukuyu #tuliatraditionaldancesfestival #rungwe #kyela #busokelo
Tulia traditional dances festival. #tradition #dance #traditionaldance #utamaduni #mbeya #tanzania #uyoleculturaltourismenterprises #uyolecte #eastafrica #africa #ngoma #ngomazaasili #tukuyu #tuliatraditionaldancesfestival #rungwe #kyela #busokelo
Live updates from Tandale Tukuyu . Tulia traditional dances festival Pic by magilazi investiment #uyolecte #uyoleculturaltourismenterprises #tukuyu #mbeya #tanzania #nyakyusatraditionaldance #dance #tradition #festival #tandale #ngoma #utamaduni #tuliatraditionaldancesfestival