KICHWA CHA HESABU, ILA HAKUJUA KUSOMA WALA KUANDIKA…
Thomas Fuller, mwafrika huyu aliyesafirishwa kwenda kuwa mtumwa Marekani mnamo 1724. Huyu bwana alikuwa mahiri sana kwenye kufanya mahesabu, hakika alikuwa na uwezo wa ajabu.
Kipawa chake kilionekana na watu ambao walikuwa wakipinga biashara ya utumwa, na walimchukua ikawa wanatembea nae kama mfano kuwa watu weusi wenye akili kuliko wazungu wapo, hivyo sio kweli kuwa wazungu mara zote ni…
View On WordPress
















