Vibe la #XtraUniBash2020 Ndani Ya Vyuo Vya Tanzania Halipimiki Kwa Thermometer Kamanda Kameza Bomu 💥Kwa Umbea wangu nikajikuta Nimeshafika kwenye #Vimbweta Vya Tumaini University College (Dar es Salaam Campus) Tudarco Mitaa Hii ina Talent nyingi mnoooo, Naiona Mbali Sana Tanzania, haya Sasa Wana Vyuo Tunafungua Masomo na #XtraUniBash2020 then Huko Mbele mbele Ni Vibanda Vya Msonge Tu Tickets Zinapatikana App Store Kwenye application ya Kijanja ya #NilipeApp Kwa Buku Saba Tu. Nasemajeee Nimefurahi Sana Kupata Taarifa Kuwa #CRDB Kupitia Nipe 5 Scholar Account kuna Mizawadi Ya Laptop na Simu Kwa Ajili ya wanafunzi Wa Mwaka Wa Kwanza na Kuna Mizawadi Kwa ambao Tayari walikua wameshafungua account hii. Tukutane #XtraUniBash2020 Jangwani Sea Breeze. https://www.instagram.com/p/CI3ckK-h9j7/?igshid=1j0rjcpanvjgz











