#DW: Waliberia wapiga kura kumchagua rais wao
[ad_1]
Wagombea hao wawili walijiunga na wapiga kura wengine nchini Liberia leo wakati wakipambana katika uchaguzi huo wa rais ambao ulicheleweshwa wa duru ya pili.
Wapiga kura wanamchagua rais ambaye atachukua nafasi ya rais Ellen Johnson Sirleaf , ambaye atajiuzulu baada ya kutumia miaka 12 kaka rais wa kwanza mwanamke katika bara la Afrika , katika …
View On WordPress

















