#DW: Ujerumani yawatuliza Waturuki | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Ujerumani yawatuliza Waturuki | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Baada ya Ujerumani kutangaza mageuzi katika sera ya misaada na uchumi dhidi ya Uturuki, waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Sigmar Gabriel katika barua yake ya wazi amewatolea wito wananchi wenye asili ya Kituruki waliopo Ujerumani kuzingatia uhusiano mwema na urafiki kati ya Wajerumani na Waturuki alioutaja kuwa ni hazina kubwa.
Hata hivyo waziri Gabriel kwenye barua hiyo…
View On WordPress











