Wambea Wanasema Wamelikubali Jukwaa Lilloiandaliwa leo Ndani ya #XXLCLOUDSFM Kwa Kukutanisha Wawakilishi kutoka Music Department za Radio Mbalimbali Nchini Tanzania Kujadili Suala La Basata Kutekeleza Sheria ya Kuzipitia Nyimbo za Wasanii kabla hazijaenda Radio Tv na platforms mbalimbali nchini Tanzania na kimataifa Tumefatilia kwa ukaribu alikuwepo @djtass wa Magic Fm, @dj_nellytz (Music Industry Expert), @tony_sixteen wa TimesFm, @graysongideon wa East Africa Radio n.K Wambea Tumejifunza Kitu hapa kumbe Media Karibu zote zina Vitengo vya Vya muziki ambavyo kazi yao ni kusikiliza nyimbo za Wasanii na kuzichuja zisizofaa, Zile zinazofaa ndo zile tunazoskiza hewani, Kumbe Basata walitakiwa kucheza na Vitengo hivi vya muziki wala wasingepata Kash Kash hii inayoendelea, Tufanye Basata hawakua wanajua, basi Sisi Wambea Tunawaomba warekebisha haraka changamoto hii Kabla mambo hayaja haribika Rais Wa Wambea #SoudyBrown #NikisemaNimesemaNaSifuti https://www.instagram.com/p/COiFc4nsRqx/?igshid=rsod5wcdzqra













