#DW: UNESCO yapata mkuu mpya
#DW: UNESCO yapata mkuu mpya
[ad_1]
Bodi kuu ya uongozi ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na elimu Sayansi na Utamaduni Unesco imemchagua aliyewahi kuwa waziri katika serikali ya Ufaransa kuwa mkuu wa shirika hilo baada ya kujitokeza mivutano isiyo ya kawaida katika mchakato wa kumtafuta mkuu mpya,ambao uligubikwa zaidi na mvutano kuhusu Mashariki ya kati.
Kuchaguliwa kwa Audrey Azoulay badala ya mgombea kutoka…
View On WordPress














