#yesuwewe #YesuWewe
seen from United States

seen from Malaysia

seen from United States

seen from Singapore

seen from Morocco

seen from Australia

seen from Malaysia
seen from Germany
seen from United States
seen from Germany
seen from United States
seen from Germany
seen from China
seen from Germany
seen from China
seen from Germany
seen from China

seen from United States
seen from United States
seen from United States
#yesuwewe #YesuWewe
Dear God, I confess that I have sinned and done wrong. I believe that your son Jesus Christ took the punishment that I deserve by dying on the cross and I thank you. I also believe that you raised him from the dead. I now receive Jesus as my Saviour and Lord. Amen. #YesuWewe
#YesuWewe Link 🔗 on my and my @worshiper_farida to watch a video. Cc @hinjuzeone @hinjuzeone_director @gospomedia (at Ludewa, Njombe)
Hallelujah every body wherever you are. @gospomedia @gospomedia has done the best. You just no need to worry. Make sure you download #YesuWewe video. May God bless you all. Haleluya watu wa Mungu popote pale mlipo. @gospomedia wamekuwekea audio-visual hapo. HAKIKISHA umepata na umeumiliki wimbo wa #YesuWewe. Ni Imani yangu Mungu ATAKUHUDUMIA kwa wakati wake. Ubarikiwe sana na Mungu. @jaclinemalekela @abel_nyalusi @annie_anniesteve @worshiper_farida (at Africa/Dar_es_Salaam)
Are you stressed in any more? Jesus has said "Come to me, all who labor and are heavy laden, and I will give you rest" #YesuWewe Yesu amesema "njooni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha" BILA #YesuWewe kujishughulisha na maisha yangu ningekua wapi mimi leo hii?..... (link on my and my @worshiper_farida to what #YesuWewe new video @bombyjohnson @bishopgwajima @mc_joshua_makondeko @zacharia_bange @hamisamobetto @brightonkinyaga_ @dr_kinyaga_jr @harriskapiga @cloudstv @cloudsplus @pepea_event @mclukinga @hery_nyigu @yusuphbenela @unclejimmytz @tumainimsowoya @dahuuofficial @fredyjane8 (at Ludewa, Njombe)
https://youtu.be/KvJne0B0MaY Yesu mwenyewe amesema "I will never leave you nor forsake you" "sitawapungukia wala sitawaacha kabisa" - Waebrania 13:5b Na ndio maana nimekuletea wimbo huu uitwao #YesuWewe . Mfanye Yesu awe kwako ili asikupungukie daima. Maana bila yeye hutong'atuka hapo ulipo. Barikiwa Sana. Cc @hinjuzeone @hinjuzeone_director @trishanoely @filiboy255 @worshiper_farida @mshairi_jr @africasfashion @consolathakihombo @uplandsfm @black_ema (at Ludewa, Njombe)
#ushuhudawangu #YesuWewe Huwa ni kawaida yangu kuwahudumia wajawazito na wanaotarajia kujifungua. Siku moja mama mmoja alipokuwa karibu na kujifungua ndani ya saa moja alipiga kelele za kuashiria hatari ya Maisha dhidi yake. "nakufaa!... Nakufaa!!..." Baadae kama dakika moja hivi akakumbuka kuwa Hata yeye alizaliwa na mama yake. Hivyo akaita kwa sauti kuu ya ajabu "Mamaaa...! Mamaa wee!" Lakini kadri hatua ya #utungu (uchungu) wake ikizidi kuwa juu akakumbuka kuwa #YESU ndiye aliyepo upande wake. Akaita kwa sauti ya Unyenyekevu sana "Yesu.... Yesu... Nisaidie mwanao." ......... Katika maisha ya kawaida WANADAMU tumeumbwa kustahimili maumivu kwa namna yetu wenyewe. Maumivu ya kutokuwa na kazi, ajira, biashara, ndoa, elimu, ndugu, watoto, na hata maumivu ya magumu TUNAYOPITIA. Lakini katika hayo yote TUNAYOPITIA yupo msawazishaji ambaye ni YESU. MWENYE KIPIMO CHA KWELI JUU YA MAISHA YETU. unapopatwa na jaribu, mwanzo wa maumivu yake hauwezi kuwa sawa na mwisho wake. Lakini Usiogope pindi unapokuta unamwomba Mungu akuvushe kwenye jaribu hilo na kwa wakati huo huo ukakuta jaribu linaongezeka Ukubwa wake. Ukubwa wa mzigo unapoongezeka jua ya kuwa ndio mwisho wa jaribu unapokaribia. Kumbuka Sio kila hatua ngumu unazozipitia ni za mpango wa shetani. Zingine zimewekwa mbele yako kwa utukufu wa Mungu. Ili ukishinda, Mungu ajitukuze kupitia wewe. Tazama video yangu mpya ya #YesuWewe YouTube. Cc @jaclinemalekela @worshiper_farida @mc_joshua_makondeko @goodluckgozbert @edithamugisha @filiboy255 @ambwenemwasongwe_official @mwana2milongo (at Africa/Dar_es_Salaam)