machweo (sunset) pa kuitwa Kilimahewa kwenye safu za Milima ya Uluguru. Hii ni mpya kabisa kwenye gallery. Ya leo tena jioni hii (Juni 18, 2017) (at Uluguru Mountains)
hello vonnie
cherry valley forever
Misplaced Lens Cap

No title available
i don't do bad sauce passes
Show & Tell

Love Begins

Product Placement

izzy's playlists!
wallacepolsom
Acquired Stardust

blake kathryn
almost home

Andulka

tannertan36
KIROKAZE

pixel skylines
ojovivo

Discoholic 🪩

if i look back, i am lost
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from Malaysia
seen from United States
seen from Italy
seen from Mexico
seen from Mexico
seen from Singapore
seen from China

seen from Türkiye
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from Portugal
seen from United States
@venancegilbert
machweo (sunset) pa kuitwa Kilimahewa kwenye safu za Milima ya Uluguru. Hii ni mpya kabisa kwenye gallery. Ya leo tena jioni hii (Juni 18, 2017) (at Uluguru Mountains)
Septemba 25, 2016. Picha ni kumbukumbu zisizofutika katika maisha, kufutika kwake labda uamue mwenyewe tu. Hapa ni ziwa Victoria upande wa Capri point Mwanza. (at Mwanza, Tanzania)
going out off campus for a mid recess. Ni jadi ya Chuo Kikuu Mzumbe kutupatia ka wiki kamoja kupumzika kuingia darasani, sema kazi kazi recess ya pili. (at Msamvu)
Hii ni moja kati ya falsafa binafsi ninayoiamini. Kuna baadhi ya ukweli katika falsafa ninazofikiria kwa sababu zipo katika jamii hii inayotuzunguka. Kwa leo elimika na hii. #Venancism #Venancetz #inspiration #BeInspired #QuoteOfTheDay #NukuuYaSiku
"Kutazama maisha katika nyanja tofauti kutafanya akili yako igundue wazo jipya." #Venancism #Venancetz #QuoteOfTheDay #NukuuYaSiku #inspiration #BeInspired
Tunayoyaona, kusikia na hata tunavyoishi ni uzoefu katika maisha. Siku moja maisha yako yatakuwa uzoefu kwa wengine na huwezi kuliepuka hili. Kwa jinsi unavyoishi fahamu kwamba wewe ni mfano wa baadaye. #Venancism #Venancetz #NukuuYaSiku #QuoteOfTheDay #BeInspired
Jitoe katika msongo wa mawazo na maisha yako yatakuwa mazuri. Jihusishe katika fikra yakinifu na utaifahamu dunia. Jifunze kutoka kwa watu na utafahamu kuhusu maisha. Na baada ya yote utaishi vema. #Venancism since 2014 #Venancetz #inspiration #NukuuYaSiku #QuoteOfTheDay #BeInspired
na tukionana zaidi ya wawili, lazima tukumbuke Advance tuu. Hatuwezi kukaa bila kukumbushia stori za High School. Ndugu zangu sana hawa, ujamaa na undugu wetu umeanzia hukohuko A Level. Picha: Machi 20, 2017 (leo) Kinondoni B DSM. (at Kinondoni, Dar Es Salaam, Tanzania)
picha hii inarudi nyuma hadi Septemba 25, mwaka jana 2016. Sifuati utaratibu wa kawaida wa kupost tbt; "Kuna kona moja tu ya ulimwengu ambayo unaweza kuwa na uhakika nayo katika kuiboresha, na kona hiyo ni wewe mwenyewe" ~Aldous Huxley. Kwa nini nimeichagua nukuu hii siku ya leo?; vijana wengi hatufikirii kabisa kuhusu kesho tunachojali ni leo tu, tumekuwa kama wanyama simba ambaye hujali leo. Kijana mwenzangu kama katika akili yako huna FUTURE utakuja kulaumu watu. Fanyia kazi hiyo nukuu itakufaa sana, bado muda wa kujibiresha upo. (at Mwanza, Tanzania)
TIME is Now ⏰⏰⏰🌍🌍. Usijaribu kupishana na wakati baadaye ukarudi nyuma. Muda ndiyo huu usisubiri kesho ku (at Mzumbe University Main Campus)
Tanzania @55 Heri ya Siku ya Uhuru nchi yangu +255 Tanzania a.k.a. TZ (at Tanzania)
Ali Kiba atajibu maswali ya mashabiki na wasiokuwa mashabiki wake alimradi tu wanaupenda muziki wake. Hii ni kuanzia saa 3 usiku kwenye Mtandao wa Twitter. Ukiuliza swali usisahau hash tag #AskKingKiba na kumtaja @officialalikiba hii ni kwa wote bila kujali team. Leo ni siku ya kufahamu yote kutoka kwa Ali kumbuka ni saa 3 usiku mtandao wa Twitter. Unakosaje sasa kufahamu kuhusu dukuduku lako!! Njoo Twitter saa 3 usiku huna akaunti sign up mapema!! (at Twitter)
Narudi nyuma kidogo mwezi mmoja uliopita Septemba 26 mwaka huu 3 staff members Kutoka kushoto; Nicholaus (University of Dar es Salaam) Cecilia (Mwalimu Nyerere Memorial Academy) and I (Mzumbe University).
Namshukuru Mungu kwa umri mwingine tena. Namshukuru pia Mama angu Florentina kwa malezi bora hasa pale nilipokuwa nikikosea, alinirekebisha. Namshukuru pia mzee wangu Gilbert, ndugu, jamaa na marafiki waliopamoja nami toka nazaliwa mpaka leo. Kila mmoja ana nafasi yake kwangu na umuhimu wake. Heri ya kuzaliwa Venance. Happy birthday to me. (at Mwanza)
#tbt hii ilikuwa Septemba 4, 2016 sio muda sana. Nauelekea mwaka mwingine hapa duniani siku si nyingi. Asante Mungu kwa neema zote hasa neema ya Uhai na Uzima. Nisogeze mbele zaidi eeh Bwana. #isave4thefuture #iVenance. (at Rock City Mall)
when the sun is set to the West. This pic was taken along the Lake Victoria specifically at Capripoint Mwanza, Tanzania. About last weekend on Saturday Septemba 03. (at Capripoint)