Blame no One for the FAILURES that Happen on your Side you are Responsible....... Maana ya Mafanikio ni kufanya kitu bora katika kile ambacho tunacho. Mafanikio ni Kufanya na Sio Kupata; Ni Katika kujaribu sio Kushinda. Mafanikio ni kiwango binafsi, na kufikia katika hali juu kabisa, kufika pale ambapo tuna fikilia kwamba tunaweza kuwa. Katika wakati wa Kufanya Maamuzi; Kitu Bora ambacho Unaweza kufanya ni Uamuzi SAHIHI. Kitu Bora zaidi ambacho unaweza kufanya Kijacho ni Kibaya na Cha Uongo. na Hakuna jambo baya zaidi ambalo unaweza kufanya. Katika Kufanikiwa Unahitaji Vitu VIWILI TU 1. UJINGA 2. UJASIRI . . Share this..... . . Tag Others. ...... Do The right thing............










