@josephkusaga anatuonesha picha za baadhi ya wakali wa Kimataifa waliowahi kuja Fiesta. Wengine hawakuja kwenye Fiesta lakini walikuja na kufanya kazi na #CloudsMediaGroup akiwemo #JayZ. . Tulishawaleta sana, wasanii wakubwa wa viwango vya Dunia. Tunashukuru walikuwa na mchago kuwafanya wasanii wetu wajifunze machache kutoka kwao, wengine tuliwatengenezea nafasi za kufanya Collabo na wasanii wetu ikawa mwanzo wao kutoka Kimataifa. Mkurugenzi Kusaga amelieleza vizuri ya kwamba "Tigo Fiesta itaendelea kuwa jukwaa la wasanii wa Tanzania pekee. Wao wanatosha na hilo ni jukwaa lao kuonesha ukomavu. Wasanii wa nje tunaweza kuwaalika katika show nyingine lakini Fiesta ni #100Tanzania" . #LevelsBaby #SaiziYako https://www.instagram.com/p/B5kUvwBlUcF/?igshid=11xdn839gudg1










