#BabaKasema Waambie Majirani Uchaguzi Huu Ni wa Kidemokrasia Na Haki🔥🔥🔥 Mwambie Jirani Yako Aje Kupiga Kura Kwani Ni Haki Yake Msingi Kwa Maslahi Ya Tasnia Ya Bongo Flava . . . Tunapozungumzia #100Tanzania basi hii ndio maana yake Kutoka kwa muasisi wa Clouds Media The Late Ruge Mutahaba, kwahiyo lazima tuwape thamani wasanii wetu wa nyumbani, hivyo wewe mpenda burudani fanya kwenda katika vituo vya kupigia kura ili umchague yule ambaye atakupa burudani ya saizi yako. Kwenye kilele cha msimu wa Tigo Fiesta 2019 Dar es, salaam. #TigoFiesta2019 #SaiziYako #LevelsBaby. https://www.instagram.com/p/B4w2TAVh-M3/?igshid=1umhfiz9i9jea