Mtumishi wa Mungu #bishopzacharykakobe anatekeleza kwa uaminifu mkubwa agizo kuu la Bwana wetu #YESU kwenda ulimwenguni kote kuhubiri #injili kwa kila kiumbe kama ilivyoandikwa #Mark16:15-20 na kuwafanya #mataifa kuwa wanafunzi wake #Kristo kama ilivyonenwa katika #MATHAYO 28:18-20. ✳✴✳✴✳✴✳✴✳✴✳✴✳✴✳ Hii hapa ni Orodha fupi ya #ziara alizofanya Askofu #Kakobe katika nchi mbalimbali ulimwenguni kupitia huduma ya #BZKIM ( Bishop Zachary Kakobe International ministries: Korea Kusini (2006), India, CongoDRC (2010), Zambia(2012), Burundi(2012) Sri-lanka(2012), Canada(2013) Australia(2016), USA, Denmark( 2016) Belgium (2016) Netherlands(2017) na Sweden (2017) na nchi nyingine ambazo utaziona kama ukifungua tovuti yake >>> www.bishopzacharykakobe.org 🚀✈✈✈✈✈✈✈✈✈✈✈✈✈ Maelfu elfu ya watu wameokoka na kupokea miujiza mbalimbali kote duniani kwenye huduma ya mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe akishirikiana na kikosi Kazi chake (#patners) kuhubiri Iniili ya Kweli kwa mataifa yote. Shukrani pia zimetolewa kwa waliopokea miujiza hiyo kutoka nchi nyingi kama: USA, Lebanon, Ghana, Nigeria, Chad, Brazil, Mexico, Canada, Norway, Denmark, Japan, SouthKorea, Australia, UK, Ireland, UAE, Malawi, Mozambique, South Africa, Kenya, Tanzania, Burundi, Uganda, Rwanda, Botswana, Swaziland, Lesotho, Namibia, Angola, Niger, Cameroon, Sudan, Philippines, Indonesia, Malaysia, India, Maldives, Madagascar, Guinea, Newguinea, France, Germany, Netherlands, na Sweden. Kwa neema ya Mungu, washirika wa kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (#FGBF) Tanzania, #wanashiriki kikamilifu kwa #sadaka na matoleo mengine mbalimbali kwa ajili ya kuhubiri injili. Yesu Kristo yupo kazini wakati wote na watumwa wake, kuhakikisha hakuna wa kuzuia #kazi ya Injili katika Jina la Yesu. "Naam, tangu siku ya leo, mimi ndiye; wala hapana awezaye kuokoa katika mkono wangu; mimi nitatenda kazi, naye ni nani awezaye kuizuia?" (Isaya 43: 13) Ni #ole wake anayezuia upanga wa Bwana usifanye kazi. ***** Sema #Amen ****** https://www.instagram.com/kongwastone/p/BeFqKPkFGkX/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=145lruyxmawgt













