#VOA. | Moderna yasema iko tayari kufanya majaribio ya chanjo dhidi ya virusi vipya
#VOA. | Moderna yasema iko tayari kufanya majaribio ya chanjo dhidi ya virusi vipya
Chanjo hiyo ya majaribio iliyo ongezwa nguvu kupambana na virusi vipya vya Corona, ambavyo viligunguliwa kwanza huko Afrika Kusini. Utafiti wa awali unaonyesha kwamba chanjo yake ya kwanza iliyo kwisha idhinishwa na Marekani na Umoja wa Ulaya haina nguvu za kutosha kupambana na aina mpya ya virusi vilivyo gunduliwa hivi sasa katika takriban nchi 40. Kampuni hiyo inasema iko tayari kufanya…
View On WordPress




