DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP TEMEKE MARKET NA BLACK SIX MECHI YALALA
DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP TEMEKE MARKET NA BLACK SIX MECHI YALALA
Michuano ya DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imeendelea leo kwenye uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kwa kuzikutanisha timu za TEMEKE MARKET na BLACK SIX ya Buguruni,mchezo huo umemalizika kwa timu hizo kushindwa kumpata mshindi baada ya kufungana bao 1-1 baada ya dakika tisini,na pia ilipofika changamoto ya mikwaju ya penati timu zote zilitumbukiza mikwaju yote mitano kimiani na…
View On WordPress












