"Badala ya vifo vya kina Mama Wajawazito wakati wa kujifungua kupungua vimekuwa vikiongezeka, ambapo kwa mujibu wa WHO vifo vilifikia 556 kati ya kina mama Laki 1 mwaka 2016/17, vifo 554 mwaka 2017 na vifo 578 kati ya wanawake laki 1 2018" - Mbunge wa kawe, Halima Mdee. #Bungeni https://www.instagram.com/p/CBVTpkegFAP/?igshid=14ja2dpsnocy9














