uundaji wa pesa wa enzi ya Akili Ya Bandia
kuwa msambazaji na wakala wa toleo la msingi la sarafu mpya


#interview with the vampire#iwtv#amc tvl#jacob anderson#sam reid



seen from Brazil
seen from China
seen from Ukraine
seen from China
seen from China
seen from United States
seen from United States
seen from China
seen from United States
seen from Germany
seen from Germany
seen from United States
seen from Mexico

seen from Germany
seen from Germany
seen from China
seen from United Kingdom

seen from United States
seen from China
seen from United States
uundaji wa pesa wa enzi ya Akili Ya Bandia
kuwa msambazaji na wakala wa toleo la msingi la sarafu mpya
Kuwait News introduces "Fedha", an AI-generated news presenter to test AI's potential for innovative content creation.
Photo Night
Kujenga upya. Fursa zisizotarajiwa. Kufufua fedha za mfumuko wa bei. Mali tupu zinaweza kuwekezwa. Fedha za mfumuko wa bei zinaweza kuwekezwa.
jamii ya mkopo binafsi
Magazeti ya Tanzania leo tarehe 15/01/2021
Soma magazeti yote ya Ijumaa 15/01/2021 Habari zilizogonga vichwa vya habari leo
View On WordPress
CHAN 2021 | Stars imepanda Ndege Kuelekea Nchini Cameroon
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega amemkabidhi nahodha wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) John Bocco fedha za posho za ndani za wachezaji pamoja na bonasi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC). Fedha hizo ni sehemu ya mchango wa Serikali kusaidia maandalizi Stars kuelekea mashindano ya CHAN 2021 nchini…
View On WordPress
Simba ‘yaachana’ na kocha wake licha ya kufuzu Klabu Bingwa Afrika
Miamba ya soka nchini Tanzania klabu ya Simba SC imetangaza kuachana na kocha wake Sven Vandenbroeck siku chache baada ya kutinga hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Taarifa rasmi iliyotolewa na uongozi wa Simba unaelezea kuwa klabu imeachana na na kocha huyo “kwa makubaliano ya pande zote mbili.” Hata hivyo, taarifa hiyo haikuweka wazi sababu ya kocha huyo kuondoka. Vandenbroeck…
View On WordPress
WAFANYAKAZI WA TMAA KUPUNGIZWA MSHAHARA
Rais John Magufuli ameagiza waliokuwa Wafanyakazi wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) na kuhamishiwa Tume ya Madini kupunguziwa mishahara yao waliyotoka nayo kwenye wakala huo.
Rais Magufuli ametoa agizo hilo Ikulu Chamwino mkoani Dodoma baada ya kumwapisha Naibu Waziri wa Madini Profesa Shukrani Manya.
Amesema Wafanyakazi hao wamekuwa wakipokea mishahara mikubwa kuliko hata…
View On WordPress