1 by FainaLi
seen from United States

seen from Australia
seen from Australia
seen from Australia

seen from Australia
seen from Australia

seen from Australia

seen from Australia
seen from Australia

seen from United States
seen from Australia

seen from Australia

seen from Australia
seen from Australia
seen from Australia
seen from United States
seen from United States

seen from United States

seen from Malaysia

seen from United States
1 by FainaLi
NAMUNGO FC YAZUIWA UWANJA WA NDEGE ANGOLA
Ni baada ya Mamlaka kudai Wachezaji watatu na Kiongozi mmoja wana maambukizi ya Virusi vya Corona Namungo ipo Angola kuchuana na Clube Desportivo 1º de Agosto katika mechi ya kombe la shirikisho. Namungo FC imezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona. Imeripotiwa kuwa, Mamlaka za Angola…
View On WordPress
CHAN 2021 | Stars imepanda Ndege Kuelekea Nchini Cameroon
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Abdallah Ulega amemkabidhi nahodha wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) John Bocco fedha za posho za ndani za wachezaji pamoja na bonasi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC). Fedha hizo ni sehemu ya mchango wa Serikali kusaidia maandalizi Stars kuelekea mashindano ya CHAN 2021 nchini…
View On WordPress
LAO NI FAINALI YA KISASI IKIWA IMEPITA MIAKA KUMI
Yanga atalipa kisasi baada ya miaka 10 Au Mnyama ataendeleza ubabe? Ni miaka 10 imepita tangu watani wajadi, Simba na Yanga wakutane kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi. January 2011 Simba alimfunga Yanga kwenye fainali ya kombe la Mapinduzi kwa matokeo ya 2-0. Magoli ya Mussa Mgosi dakika ya 33 na Shija Mkinna dakika ya 71 yalimsaidia mnyama kuondoka na kombe la Mapinduzi kwenye uwanja wa…
View On WordPress
#RMT: #Zanzibar #MapinduziCup2020_2021 #Fainali Ijumatano Januari 13, 2021... - #RMTUpDates
#RMT: #Zanzibar #MapinduziCup2020_2021 #Fainali Ijumatano Januari 13, 2021… – #RMTUpDates
#Zanzibar🇹🇿 #MapinduziCup2020_2021 #Fainali Ijumatano Januari 13, 2021#YoungAfricansSC & #SimbaSC Kombe hili litachukuliwa na klabu gani kati ya hizo mbili?#PérèsNIBIGIRA Source
View On WordPress
NANI BIGWA WA MAPINDUZI CUP
Fainali ya kombe la mapinduzi imewakutanisha vigogo wa soka la Tanzania watani Wajadi Simba na Yanga yaani Vijana wa Kiafrika na Mnyama hatari zaidi duniani
View On WordPress
fainali ha risposto al tuo post “OMG! QUEEN WILL BE IN ITALY IN FEBRUARY!”
I'm coming from Canada to that show!
Omg wow :D