Aisee Ma #Shilawadu 🇹🇿 Wa China 🇨🇳 sio Wa Spoti Spoti amkeeniiiiii amkeeeeeeniiii......!! Jana Kulikua Na Party Wa Kibongo Ndani ya China, Na Party Imeanza na Kumalizika Vizuuuuri Party ilikuwa ya 🔥🔥🔥🔥🔥 Shilawadu Tukawakilishwa na Mzee Baba @bob_jidy Kama Unavyomuona Hapo Akiwa ametupia Ki Mzula Cha Wajeda ana Bahati yupo mbali Kibongo Bongo wenyewe wakimkuta Anapigishwa kwata na Kichura 😂😂😂@ubuyumtamuwashilawadu ulichangamsha Na kuwapa vibe la kutosha 🔥🔥🔥🔥 . Kwa mahitaji ya @ubuyumtamuwashilawadu kwa jumla call or whtaap 0714738086 na unaletewa mpaka ulipo bila gharama za usafiri kuongezeka ( free delivery only in Tanzania na ni kwa jumla tu ) mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 . #Shilawadu #ShilawaduXtra #WatapataTabuSana #Hatushindwi #WambeaWaKimataifa #ShilawaduWambeaWaKimataifa #UmbeaUnalipa #SisiSioWatuWaMchezoMchezo . Cc @shilawaduxtra @ubuyumtamuwashilawadu @shilawadu @bob_jidy @soudybrown @lubaacris @soudybrown @wutasa2018 https://www.instagram.com/p/B6Fr4Nghyj-/?igshid=1pvk1oov9xo6y












