Kituo Kikubwa Cha Habari Cha Muscat Oman, Inasemekana eti.... Leo Asubuhi Kimetoa Ripoti Kuwa Mtawala Wa Oman 🇴🇲 Sultan Qaboos Ametuma Ujumbe Mzito Kwa King Kiba Baada ya kushuhudia Show Ya Msanii huyo Jana Ucku Sultan Qaboos Ni Moja Kati Ya Watawala Matajiri Duniani, anakadiriwa kuwa na utajiri Wa Dollar milioni 700 Sultan Qaboos amesema Yupo Tayari kumpa Uraia @officialalikiba Na kumjengea Makazi Pembeni ya Mji wa Muscat Na Kasri la Sultan huyo litahudumia Wafanyakazi wote 30 Watakaokua Wakilihudumia Jumba la Kiba Kipindi chote Cha Maisha yake Akiwa Raia Wa Nchi hiyo Sultan amesema amefurahishwa na Namna Msanii huyo anavyoiwakilisha Tanzania na Africa Kwa Ujumla, hivyo yeye Angependa Ali Kiba abebe Bendera ya Oman 🇴🇲 katika Majukwaa yote Duniani Sultan Wa Oman anaamini Uwepo wa Ali Kiba Muscat utaweza kuinua Sekta ya Muziki ya Nchi Hiyo Tajiri, Kwani kwa kupitia Kipaji chake atawafunza wa Omani Jana Ucku Mfalme alikua akishuhudia Show Ya Kiba akiwa katika Kasri Lake na aliwakusanya Viongozi Wa Juu Wa Serikali yake na Walifikia Maamuzi hayo kwa Pamoja Aidha Qaboos Amesema kama Kiba atakubali Offer hiyo basi Kasri lake litakua linamlipa #KingKiba Dollar 50,000/= Kila Mwezi Katika Kuonyesha Msisitizo Wa Ombi Lake Inasemekana Eti Sultan Ametuma Zawadi Nono Ya Mapande Mawili Ya Dhahabu Kwa #KingKiba Swali Je @officialalikiba Atakua Tayari Kuutosa Uraia Wa Tanzania? Sidhani, Kwani Africa anakosa Nini? Ma #Shilawadu Tunaendelea Kumtafuta #KingKiba Ili Kumuuliza Je Taarifa hizi Zimemfikia? Na Kama zimemfikia amezipokeaje? Atatutosa? Swipe Left Kumwona Sultan Na Mapande Ya Dhahabu . . . . . . . . Comment Fupi Fupi . . . . . . . . Dau La Kuanzia Shilingi 500 Linaweza kukusababishia Uondoke Na kibunda Cha Mahela Cha #WikiendiJackpot na Vibunda Vingine Katika Jackpot Zote za @tatumzuka Cheza Sasa Hivi Kama Unatumia Tigo Pesa Or M Pesa Or Airtel Money Fanya Kama Unalipia Bili, Namba za Kampuni ni 555111 Utaingiza Namba zako Tatu za Bahati zikifuatiwa na Neno Ubuyu Kwa mfano 351 Ubuyu . . . #SoudyBrown #Shilawadu #SisiSioWatuWaMchezoMchezo #Hatushindwi #RaisWaWambea #RaisWaWambeaSoudyBrown #MbeaWaKimataifa #mbeawakimataifasoudybrown https://www.instagram.com/p/BtqKe_Qh_f3/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1nasr83zwhdli