Njaa ya Sauti Yake
Angejua jinsi gani nina njaa ya sauti yake ipenye masikioni mwangu. Angeniongelesha hata kama ananitukana.
Hungry For Her Voice Photo by Darry Lin on Pexels.com Fred’s PoV Sijawahi kufikiria kama ipo siku nitamuona Sophy kwenye runinga. Nilimpenda, nilitamani kuwa nae maishani mwangu, nilimpenda kama rafiki yangu na mtu wangu wa karibu. Anaenda kuolewa sasa, anaonekana ni mwenye furaha. Kinachoniuma zaidi sitaweza kuwa nae siku ya harusi yake. Sikuwahi kujua kama ipo siku nitaishi peke yangu…
View On WordPress












