Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania
Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania
Mafunzo ya Huduma kwa Wateja kwa Wadau wa Utalii Tanzania iliyoratibiwa na Chama cha Watoa Huduma ya Utalii Tanzania TATO (Tanzania Association of Tour Operator) na kufaziliwa na benki ya CRDB yafanyika kwa mafanikio makubwa Arusha. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika hoteli ya SnowCrest inayotoa huduma yake pembeni kidogo mwa mji wa Arusha imejumuisha wadau zaidi ya 300 kutoka katika secta ya…
View On WordPress





