#DW: Australia yazuia njama ya shambulizi la kigaidi | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Australia yazuia njama ya shambulizi la kigaidi | Matukio ya Kisiasa | DW
Waziri Mkuu Malcom Turnbull amesema usalama umeimarishwa katika uwanja wa ndege wa Sydney tangu siku ya Alhamisi kwa sababu ya njama hiyo. hatua hizo zilizoimarishwa za usalama pia zimewekwa kwenye viwanja vyote vya safari za kimataifa na za ndani kote nchini Australia jana usiku.
“nnaweza kuripoti kuwa jana usiku kumekuwa na operesheni kubwa ya kupambana na ugaidi ya kuzuia njama ya…