- “couple colors” 10x11

seen from United States
seen from United States
seen from United Kingdom

seen from T1
seen from China
seen from United States

seen from Malaysia
seen from South Korea
seen from Türkiye
seen from Canada
seen from Germany
seen from Malaysia
seen from United States
seen from China

seen from United States
seen from Türkiye
seen from China
seen from Türkiye

seen from Maldives

seen from China
- “couple colors” 10x11
#kipepeo cha harusi cha kupendeza sana, bei ya jumla ni Tsh25,000,vipo vya aina nyingi pia,kwa mawasiliano zaidi tupigie simu namba 0753-101-309 au whatsApp 0783-177-083 karibu sana tupo lumumba Street mwanza karibu sana kwa vifaa vya birthday tembelea page yetu @birthday_urembo_mwanza https://www.instagram.com/p/CjVEY_OI7Z_/?igshid=NGJjMDIxMWI=
Msiba wa #rugemutahaba umenikumbusha misiba mikubwa miwili iliyopita. Sikusudii kumlinganisha Ruge na umaarufu wa watu hao ila Msiba wa Mzee Sokoine na Mzee Nyerere ulifanya nchi ikaomboleza kama leo hii. Haiwezi kulingana ila wawili wa awali walikuwa viongozi wa Kitaifa, then, who was Ruge? . Kuna watu wanasema media ndio imefanya iwe hivi. Hapana kwani hakuna watu kwenye media au viongozi waliotangulia? Mbona haikuwa hivi? . Naamini Marehemu Sokoine alipanda mbegu katika Utumishi wake kwa umma. Mwalimu Nyerere ndio zaidi. Kuanzia uhuru hadi kugusa maisha wa watanzania wengi. Ruge? . Ruge alikuwa #jasirimuongozanjia aliyegusa maisha ya wengi kupitia #fursa #malkiawanguvu #kipepeo na mijadala aliyoibua vyuoni na kubadilisha fikra za vijana wengi sana. Mbegu alizozipanda Ruge Tanzania ndio haya tunayoyaona. . Nimejiuliza maswali mengi sana. Nimetafakari maisha yangu. Hatutaishi milele. Tutaacha nini? . Mbegu: Haijalishi umeishi miaka mingapi, bali maisha yako na matendo yako kwa muda utakaobahatika kuishi duniani. #ripruge #riprugemutahaba @josephkusaga @cloudsfmtz @cloudstv https://www.instagram.com/p/BuksEDIngXLAZVs8J_gZKoF85R12g2UKvAz-NI0/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=49ryi6knp3n2
20181018.2
KIPEPEO EFFECT
Kipepeo is Swahili for butterfly. According to Edward Lorenz the man who coined the term Butterfly effect, a small change, even the flapping of wings by a distant butterfly several weeks earlier can create a significant change and influence the course of a tornado. That is the Kipepeo Effect.
Depression and Anxiety are good mimics and ventriloquists. I use capital letter for the terms and make them proper nouns like you would persons even if you cants see them. As good mimics and ventriloquists, they know when to use thoughts that sound like your words. They know how to use thoughts to sound like the words of others. And that’s ok, its their job. YOUR JOB is to remember the power of I AM.
When you hear a voice say you are not enough, when you hear a voice say I am not enough, that is not the voice of the true I AM. I AM is enough. I AM enough. When you hear a voice say you cannot make it, when you hear a voice say I cannot make it, that is not the voice of the true I AM. I AM can make it. I can make it.
We are born into language. We are not born telling ourselves I am this, I am that. We first heard it from someone, then we internalized it and the words gradually changed to I am this, I am that. Your job is to remember the power of I AM. You cast down every thought that exalts itself above the knowledge of the true I AM.
I AM AWESOME. I AM AMAZING. I AM CAPABLE. I AM STRONG. I AM KIND. I AM AWARE. I AM DESERVING. I AM LOVABLE
Dont let Anxiety and Depression fool you to think that they are the I AM. And if you need to, say “I am strong enough to get help if and when I need it.” Do something small towards your recovery. Flap those wings you kipepeo you. You never know how it will affect your life tornado.
@Regranned from @cloudsfmtz - Ujumbe kwa Rais #Magufuli : Leo tulikuwa na kundi la wanafunzi zaidi ya 1,000. Ni wanafunzi wa #MawenziSec tuliowapeleka #WeruWeru kukutana na wenzao kwa ajili ya #Kipepeo. Wakati tukio, wakawa na ujumbe huu. #HappyBirthdayJpm #HappyBirthdayMrPresident - #regrann #repost @leearango123 (@get_repost ) (at Felix Varela Senior High School)
#ThawabuZaTapeli : . . " Huyu sio wa kwanza #CloudsMediaGroup tumeshasemwa sana, tumetukanwa sana na kuitwa matapeli na mwenye mtazamo huo tunamuacha abaki nao. Lakini hatujawahi kurudi nyuma na tunaendelea kupitia falsafa ya #TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka. Anayesema Ruge ni tapeli unamuangalia tu kama kusaidia watu ndio utapeli baasi sawa. Kama kuna thawabu ; thawabu zetu ziko kwa #Kipepeo Bernadetha ambaye anajua tulivyomhangaikia , thawabu zetu zipo kwa msanii #JetMan ambaye tumesaidia aende India kutibiwa, thawabu zetu zipo kwa watu wasiioona zaidi ya 500 tuliowapa fimbo za kutembelea, thawabu zetu zipo kwa huyu mtoto tuliyemtoa Songea aje Dar kutibiwa, thawabu zetu zipo kwa wale #MalkiaWaNguvu, thawabu zetu zipo kwa mamilioni ya vijana niliowasaidia, thawabu zipo kwa watu wengi wanaojua mchango wa #CloudsMediaGroup kwenye matatizo yao na mambo mengine mengi ya hili Taifa " - #RugeMutahaba . . #Shukrani : #TunakufunguliaDuniaKuwaUnachotaka