
seen from France
seen from Vietnam

seen from Russia
seen from United States
seen from United Kingdom

seen from France
seen from Netherlands

seen from France
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from Sweden
seen from Germany

seen from France
seen from Kenya
seen from Australia

seen from Germany

seen from United States

seen from Malaysia
seen from United States
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Swali: Kila namba kati ya namba zifuatazo ina maana kubwa katika kitabu cha 'Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi', kuanzia jalada la mbele. Tegua (kokotoa) kitendawili cha Kolonia Santita: Msimbo ("code"): 35 - 12 - 4 - 2 - 88 35 inamaanisha nini katika kitabu cha Kolonia Santita? 12 inamaanisha nini katika kitabu cha Kolonia Santita? 4 inamaanisha nini katika kitabu cha Kolonia Santita? 2 inamaanisha nini katika kitabu cha Kolonia Santita? 88 inamaanisha nini katika kitabu cha Kolonia Santita? Namba zote hizo zimejificha katika maneno na picha za jalada la mbele linaloonekana hapo kwenye picha. Unachotakiwa kufanya ni kuzitafuta namba hizo, moja baada ya nyingine, na kutoa maana yake kulingana na muktadha wa kitabu kizima cha Kolonia Santita. Ukishindwa usijali. Jibu litatolewa jioni. #koloniasantita #msimbo #code #kitendawili #riddle https://www.instagram.com/p/BsXW0N1nZIg/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=4jv00k175em8
VIDEO: Mrisho Mpoto Ft. Kassim Mganga – Kitendawili http://dlvr.it/Pdkv2H
Audio: Mrisho Mpoto Ft. Kassim Mganga - Kitendawili | MP3 Download http://dlvr.it/PZs0s5