#DW: Zuma kupinga kurejeshwa mashitaka 783 | Matukio ya Afrika | DW
#DW: Zuma kupinga kurejeshwa mashitaka 783 | Matukio ya Afrika | DW
[ad_1]
Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Democratic Alliance (DA), kimekwenda mahakamani mara 11 tangu mwaka 2009 ili kushinikiza kufunguliwa mashitaka juu ya mikataba ya kijeshi iliyofikiwa baada kumalizika utawala wa ubaguzi wa rangi na utengano nchini Afrika Kusini ambayo yamemzonga Zuma kwa sehemu kubwa ya muda wake wa uongozi.
Mwaka 2005 aliyekuwa mshauri wa masuala ya fedha…
View On WordPress












