#DW: May kuwahimiza viongozi wa Umoja wa Ulaya kuidhinisha makubaliano ya Brexit
[ad_1]
Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May anaelekea mjini Brussels hii leo ambapo atawahimiza viongozi wa Umoja wa Ulaya kuidhinisha makubaliano ya kusogeza mbele mazungumzo ya Brexit katika awamu ya pili, akieleza kuwa ni mpango wa haki unaotoa msingi mzuri wa majadiliano ya mahusiano ya baadae.
Mwanzoni mwa chakula cha jioni mjini Brussels, saa 24 baada ya matokeo ya kushangaza ya bunge…
View On WordPress












