SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO).[Day27].
31/01/2016. “NGUVU YA MAPATANO (THE POWER OF AGREEMENT)” Mapatano ni makubaliano kati ya watu wawili au zaidi ili kufanya jambo. Pia yaweza kuwa makubaliano kati ya makundi mawili au zaidi ya watu kwa kusudi la kufanya jambo moja pamoja. Kibiblia mapatano yanamfanya Mungu AJE. Mapatano yanamfanya Mungu AINGILIE KATI KWA WEMA AU KWA UBAYA. Mapatano yanaweza kumfanya MUNGU AJE MAHALI KWA AJILI YA…
View On WordPress











