I'm a young writer but also a good reader. Ndani ya mwaka 2017, nimefanikiwa kusoma na kufanyia kazi yaliyoandikwa kwenye vitabu 15 vya kunijenga kwa namna moja ama nyingine, ambavyo niliviwekea malengo na mkakati madhubuti. Kati ya hivyo, vitabu tisa (9) vimekuwa my favourite, kama unavyoviona hapo juu. Je, wewe umesoma chochote kati ya hivyo? Umesoma vitabu gani? (Comment hapa chini majibu yakoo tafadhali)... #MarkMalekela #SucceedInYourStudies #LiveYourPurpose #ishindotoyako #timizamalengoyako #maono #malengo #vitabu #usomaji (at Wanging'ombe District)













