Haya Haya Hayaaaaa Kama Ulikua Hujawahi Kumwona #AdamMchomvu Akidendeka, Huyu Hapa live Bila chenga #MapenziMubashara https://www.instagram.com/p/Bt3gaDHhQl8/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=2pbg18kp7wxk

seen from Germany
seen from United States

seen from United States

seen from United States

seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from India
seen from Oman
seen from Tanzania
seen from China

seen from Australia
seen from United States
seen from India

seen from Germany
seen from China
Haya Haya Hayaaaaa Kama Ulikua Hujawahi Kumwona #AdamMchomvu Akidendeka, Huyu Hapa live Bila chenga #MapenziMubashara https://www.instagram.com/p/Bt3gaDHhQl8/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=2pbg18kp7wxk
Leo Mambo Ni Upendo, Mambo Ni Makopa Kopa Kama Yote Katika Msimu Huu Wa #MapenziMubashara Ndugu zetu @tatumzuka Wanatoa Milioni 300 katika msimu huu wa wapendanao ili wewe na umpendae mfaidike. Leo mamilioni yanatoka katika #supamzukajackpot kwa watu 5 na wapenzi wao huku kila baada ya dakika kumi hadi milioni 6 inatoka. Cheza sasa ujaze mfuko wako na kunogesha penzi lako. Cheza sasa kwa kutuma dau lako kwenda namba ya kampuni 555111 na kumbukumbu namba weka namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno UBUYU #ukishindaupendounashindapia https://www.instagram.com/p/Bt3Lk-Vha6-/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=znjr28ltw1o5
Repost from @cloudsfmtz Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri (@agreymwanri) anaweza kuonekana mtu mbaabe kidogo, yani mzee wa 'Kusukuma ndani'. Lakini tumegundua, kuna mahali akifika atatulia tuuulii, ni kwa binti mmoja toka kijijini kwao. Yani hapo full #MapenziMubashara. . Lakini mwisho wa siku anatoa onyo kuhusu kuoa 'Vicheche', sikiliza hapo. Haya tuambie, sehemu unayoweza kukutana na mpenzi bora ni wapi? https://www.instagram.com/p/Bt0Z-0whkjX/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=hf0pc1mmlmql
Mtangazaji wa cloudsfm Divathebawse afunguka mengi na @johnjakson_tz @johnjakson_tz kuhusu mahusiano yake. ndani ya #socialbuzz #TheTrendWithDiva source @cloudsfmtz #mapenzimubashara https://www.instagram.com/p/Btd1Lnlldaw/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=7as0efemq9u5
Heee 🤔🤔.. Waraka wa Roma mmeuelewa? Kama na wewe huna kifua basi tukutane Jumatatu, ntakuwa na @geahhabib Kunyapia nyapia mahusiano na changamoto zake. #MapenziMubashara https://www.instagram.com/p/BtYJJ22htDl/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=1ky1cazvh2kve
Mambo ni Hiviiii 🔥🔥 . Escape One Tarehe 17 Feb 2018 #MapenziMubashara
Tanzania Na Uganda ni Nchi uhusiano Mkubwa Sana Tangu enzi Na enzi japo kipnd flani kiliwahi kunuka J.K wa kwanza akaweka mambo Sawa Tena Kwa gharama Kubwa Sana Leo Wasanii wa Nchi hizi Mbili wanaendeleza Mashirikiano big up Kwa @Alawijunior Na Dr @josechameleone #MapenziMubashara
Love is Everything and Everything is for the love. ❤ #Bamba2Bamba #mapenzimubashara #Mapenziyadhati #happywomensday #iloveyou 😘😍