Mapigano yasababisha vifo vya watu 48
Ghasia kati ya makundi ya kikabila katika jimbo la Magharibi mwa Darfur zimesababisha mauaji ya watu 50, kulingana na chombo cha habari cha Sudan kikinukuu muungano wa madaktari. Mapigano katika mji mkuu wa jimbo hilo , Elgeneina , yalianza siku ya Jumamosi baada ya mzozo ambapo mtu mmoja alidungwa kisu hadi kufa. Masharti ya kutotoka nje yamewekwa na waziri mkuu Abdalla Hamdok ametuma ujumbe…
View On WordPress











