Jipime Katika Somo la Uraia - II | Septemba 2014
Jipime Katika Somo la Uraia – II | Septemba 2014
SEHEMU A
Jibu Maswali yote katika Sehemu hii
Nyumbulisha istilahi zifuatazo kama zinavyotumika katika elimu ya siasa-uchumi;
PATU
PANA
MAYAZI
GATT
Kwa kutoa mifano tofautisha vitendo vya Ujifunzaji na Vitendo vya Ufundishaji kama ilivyo katika mtiririko wa ufundishaji somo la Uraia.
Unaelewa nini juu ya Uraia wa Nasaba? Taja sifa tatu (3) za raia mwema wa Tanzania.
Taja Nchi mjumbe (ambaye sio…
View On WordPress











