VanderwoodxHana
Me encanta Vandy >w< 💕💕💕💕💕
seen from China

seen from Germany
seen from Germany

seen from United States
seen from United States

seen from Germany
seen from China

seen from Germany

seen from Germany

seen from Germany
seen from United States

seen from Germany

seen from United States

seen from Germany
seen from United States

seen from Germany
seen from Singapore
seen from Brazil

seen from Germany
seen from United States
VanderwoodxHana
Me encanta Vandy >w< 💕💕💕💕💕
SIKU 30 ZA MAAJABU NA MIUJIZA (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 9]
SIKU 30 ZA MAAJABU NA MIUJIZA (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 9]
Day 9, 13/01/2016. “USHIRIKA NA ROHO MTAKATIFU” 2Wakorintho 13:14 “Neema ya Bwana Yesu Kristo, na Pendo la Mungu, na USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU UKAE NANYI NYOTE” Kuna mambo makubwa matatu katika sentensi hii; i)Neema ya Bwana Yesu Kristo ii)Pendo la Mungu iii) Ushirika wa Roho Mtakatifu Asilimia kubwa tunajua na tumesikia kuhusu NEEMA na pia tumesikia mara nyingi kuhusu UPENDO WA MUNGU lakini…
View On WordPress
SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO) [day7]
SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO) [day7]
Day 7, 11/01/2016. ASUBUHI NA MCHANA “UPAKO WA KUONA FURSA MAHALI AMBAKO WENGINE HAWAONI” Luka 4:18-19 “… Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana AMENITIA MAFUTA (amenipa upako maalum)…NA VIPOFU WAPATE KUONA TENA…” Kila nilipokuwa nalisoma andiko hili maalum linaloeleza baadhi ya kazi za Yesu alizokuja kufanya duniani, kila nilipokuwa nasoma kipengele hicho cha “NA VIPOFU KUPATA KUONA TENA” akili…
View On WordPress
SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU (MFUNGO WA SIKU 30).[Day4]
SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU (MFUNGO WA SIKU 30).[Day4]
Day 4, 08/01/2016. MCHANA “NGUVU ZA MUNGU” Zaburi 105:4 “Mtakeni Bwana na NGUVU ZAKE; utafuteni uso wake siku zote” Kwenye andiko hili la msingi tunayaona mambo kadhaa; 1. Kuna uhusiano wa moja kwa moja na kumtafuta Mungu kila siku na kiwango cha nguvu zake utakachotembea nacho. 2. Nguvu za Mungu hazikunyeshei kama mvua au kukuangukia kama jua; Ni mpaka UZITAKE NA KUZITAFUTA 3. Hauwezi kutafuta…
View On WordPress
SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (MFUNGO WA SIKU 30). [Day 03]
SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (MFUNGO WA SIKU 30). [Day 03]
Day 3, 07/01/2016. MCHANA “NEEMA YA KUPATA UTAJIRI” 2Wakorintho 8:9 “Maana MMEIJUA NEEMA YA BWANA WETU YESU KRISTO, jinsi alivyokuwa masikini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ILI KWAMBA NINYI MPATE KUWA MATAJIRI KWA UMASIKINI WAKE” Wapenzi, kuna aina mbalimbali za neema kwa mujibu wa Neno la Mungu (1Petro 4:10). Baadhi ya hizo neema ni; i) Neema ya wokovu (Waefeso 2:6-8, Tito 2:11-13). ii)…
View On WordPress
MAOMBI YA SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU [Day 2]
MAOMBI YA SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU [Day 2]
Day 2, 06/01/2016. MCHANA NEEMA YA KUFANYA NA KUWA ZAIDI YA WENGINE. “Nami kwa NEEMA YA MUNGU nimekuwa hivi nilivyo; na neema yake iliyo kwangu ilikuwa si bure, BALI NALIZIDI SANA KUFANYA KAZI KUPITA WAO WOTE; Wala si mimi, bali ni NEEMA YA MUNGU pamoja nami” (1Kor 15:10). Paulo hakupata nafasi ya kukaa na Yesu hata wiki moja. Alikuwa muuaji. Mtaabishaji wa kanisa. Mtu ambaye Yesu hakumtaja…
View On WordPress
Usiku
104. Ukikosana na mwanamke usimpige mchana. Mpige usiku.
Enock Maregesi
Nyama ye Nhloko #CowMeat #CowHead #HomeMade #Yolo #Mchana (at Chiawelo, Soweto)