JE, UMEKUWA UKIOTA VITU VIZURI ALAFU HAVITOKEI?
JE, UMEKUWA UKIOTA VITU VIZURI ALAFU HAVITOKEI?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuhusiana na wale watu ambao wamekuwa wakiota mambo au vitu vizuri kila mara, lakini ajabu vitu hivyo vimekuwa havitokea katika uhalisia wa maisha.
Kitu cha kwanza unachotakiwa utambue ni kwamba, kuna watu wenye uwezo wa kuyaona mambo mazuri unayoyaota na badala yake huyabatilisha, ili tu usiweze kufaidika nayo. Mwisho wa siku unabaki njia panda na…
View On WordPress












