seen from United Kingdom
seen from South Africa
seen from Hong Kong SAR China
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States
seen from United States

seen from United States
seen from Germany

seen from Yemen

seen from United States

seen from Türkiye

seen from Japan
seen from United States

seen from Malaysia

seen from United States
seen from Poland
seen from Ireland

seen from Canada
Endoto’s Human Friends - Real Wild
JE, UMEKUWA UKIOTA VITU VIZURI ALAFU HAVITOKEI?
JE, UMEKUWA UKIOTA VITU VIZURI ALAFU HAVITOKEI?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuhusiana na wale watu ambao wamekuwa wakiota mambo au vitu vizuri kila mara, lakini ajabu vitu hivyo vimekuwa havitokea katika uhalisia wa maisha.
Kitu cha kwanza unachotakiwa utambue ni kwamba, kuna watu wenye uwezo wa kuyaona mambo mazuri unayoyaota na badala yake huyabatilisha, ili tu usiweze kufaidika nayo. Mwisho wa siku unabaki njia panda na…
View On WordPress
Sema hapana kwa ndiyo nyingi kwa sababu hawaoni unachokiona. #ndoto #dream #dreams https://www.instagram.com/p/B1jZm7hhxbd/?igshid=10q4wppzx82ul
Roy - Ndoto (Morogoro) | Audio Download
Roy – Ndoto (Morogoro) | Audio Download
DOWNLOAD PAKUA
Wimbo wa Maombolezo kuhusiana na ajali ya Mlipuko wa moto uliotokea baada ya kudondoka kwa gari la mafuta maeneo ya Msamvu, Morogoro na kusababisha vifo vya raia wengi. Tunaungana na watanzania wote kuomboleza na kuwaombea majeruhi kupona kwa haraka. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe.
Wimbo umeimbwa na ROY huku ukitayarishwa na Prod Steve Maker | Stopper Record
View On WordPress
Nawauliza Waganga
Jana ndoto linijia, kote kumejaa damu, Sijui likotokea, tena yao binadamu, Mana nalisubiria, meuliza wanajimu, Waganga naulizia, kitale lama lamu. ~Utunzi wa Moses Chesire #Mwanagenzi
Jana ndoto linijia, kote kumejaa damu, Sijui likotokea, tena yao binadamu, Mana nalisubiria, meuliza wanajimu, Waganga naulizia, kitale lama lamu.
Ngeu ilitapakaa, aridhini na maweni, Mito nayo ikajaa, ikamwaga baharini, Sijaona tena baa, ‘lohiliki taifani, Waganga naulizia, kitale lama lamu.
Insi walijifia, mabondeni na nyikani, Jasadi zikabakia, kuliwa na hayawani, Sijui yao hatia, lopeleka…
View On WordPress