#TRT: Polisi waliomuua mwanamume mweusi kutochukuliwa hatua Marekani Mapolisi wawili wa kizungu waliompiga risasi mwanamume mweusi na kumuua nchini Marekani hawatachukuliwa hatua zozote. Idara ya haki kimetangaza siku ya Jumatano kuwa hakuna ushahidi wa kutosha wa kuwakamata mapolisi hao.













