Mungu alimuumba mwanamke kuwa msaidizi wa mwanamume. Lakini mwanamke atamsaidiaje mwanamume ikiwa mwanamume hana kazi ya kufanya? Oa ukiwa na kazi ya kufanya. Ukikigundua kipaji chako utakifanya kipaji hicho kuwa rafiki yako. Kuanzia hapo utapoteza marafiki, wengi, kwa sababu utakuwa na kazi ya kufanya. Kaini alimuua Abeli kwa sababu Abeli alibarikiwa na Mungu. Mungu akikubariki, na hawezi kukubariki ikiwa huna kazi ya kufanya, watu watakuchukia. Achana nao. Acha waendelee kukuchukia. #enockmaregesi #mwanamume #mwanamke #man #woman #kipaji #talent #ndoa #mariage https://www.instagram.com/p/BqhKz62nwer/?utm_source=ig_tumblr_share&igshid=apdw5nyfiqyt


















