KIRUSI KIKUBWA MWENYE UMRI WA MIAKA 30,000 AGUNDULIKA SIBERIA.
KIRUSI KIKUBWA MWENYE UMRI WA MIAKA 30,000 AGUNDULIKA SIBERIA.
Pichani juu ni kirusi aina ya ‘Pithovirus’ mwenye umri wa miaka 30,000
Inaweza ikawa ni vigumu kuamini ila ukweli ni kwamba, kirusi mpya mkubwa kuwahi kutokea Duniani amegundulika na watafiti eneo la Siberia Urusi baada ya kuishi chini ya barafu kwa takribani karne 300 sawa na miaka 30,000.
Anafahamika kwa jina la kisayansi “Pithovirus” amepatikana chini ya ardhi iliyoganda kaskazini…
View On WordPress











