Fahamu kwanini polisi Uganda yawasaka watu wanaonunua chapati zaidi ya tano
Fahamu kwanini polisi Uganda yawasaka watu wanaonunua chapati zaidi ya tano
Hivi karibuni polisi katika wilaya ya Moroto kaskazini mwa Uganda wameanza kuwasaka watu wanaonunua chapati 5 au zaidi kwa madai ya kuwa huenda watu wao wakawa wanawalisha wezi wa mifugo eneo hilo Msemaji wa Polisi Michael Longole amenukuliwa akizungumza na Stesheni ya Uganda Radio Network kuwa ” Tumepokea taarifa kuwa wale wanaonunua chapati nyingi wanawapelekea wapiganaji msituni” Alisema…
View On WordPress











