Street Class📚📚📚 Bibi Na Babu Zetu wa kiafrika Ni alama na mfano Halisi wa upendo wa dhati katika maisha, Wametupigania kwa kututengenezea Misingi bora na Imara ya kesho zetu kwa vile vidogo walivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu kusupport ndoto zetu, Hakika Michango yao katika maisha yetu ina thamani zaidi ya madini yeyote yale na Busara zao zimetufanya tuishi kokote na yeyote yule kwa upendo, Walitusimulia,Walitufunza,Walitujali, Na Hakika Hazina walizotuachia daima zitaishi moyoni na damuni kwetu. Mwenyezi Mungu Awape Maisha marefu zaidi ya furaha ,amani,na baraka tele na kwa wale waliotangulia mbele za Haki Mwenyezi Mungu Awajalie Nuru ya milele katika makaburi yao. Amen". NB:NaniKamaBibi,NaniKamaBabu, #KopaKwaBibiKopaKwaBabu. #Tuwatembelee". #WasafiMedia #DiamondPlatnumz #Millardayo #Djtee255 #Watunistory #Malisa_gj #abby1thebest (at Kisesa, Mwanza, Tanzania) https://www.instagram.com/hamissihamzajr/p/CON-QVvomzK/?utm_medium=tumblr