Wananchi kupata huduma kidigitali popote walipo
macklin celebrini has autism
d e v o n

Discoholic 🪩

if i look back, i am lost

pixel skylines
NASA
noise dept.
I'd rather be in outer space 🛸
🪼
No title available
Misplaced Lens Cap

Andulka

#extradirty
No title available
Aqua Utopia|海の底で記憶を紡ぐ

gracie abrams

bliss lane

No title available
EXPECTATIONS

shark vs the universe

seen from Brazil
seen from United States
seen from Canada
seen from United States

seen from United States

seen from United States

seen from Malaysia
seen from Australia

seen from United Arab Emirates
seen from United States
seen from Czechia

seen from Russia

seen from Malaysia

seen from Türkiye

seen from United States

seen from United States
seen from Malaysia
seen from United States

seen from United States
seen from Azerbaijan
@tzegovernment
Wananchi kupata huduma kidigitali popote walipo
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Dkt. Jabiri Kuwe Bakari akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya siku moja kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao kwa Wakuu wa Idara na Vitengo vya TEHAMA Serikalini yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano DODOMA
Mkurugenzi wa TEHAMA Serikalini, Bw. Priscus Kiwango akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua mafunzo ya siku moja kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao kwa Wakuu wa Idara na Vitengo vya TEHAMA Serikalini yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano DODOMA.
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu Serikalini, ACP Ibrahim Mahumi akizungumza na Wakuu wa Idara na Vitengo vya TEHAMA Serikalini wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku moja kuhusu umuhimu wa utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao kwa niaba ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Chuo cha Sayansi ya Kompyuta, Habari na Mawasiliano DODOMA.
Sheria na Kanuni za Serikali Mtandao (Serikali ya Kidigitali) zinasaidia Matumizi Sahihi ya TEHAMA Serikalini
Mamlaka Ya Serikali Mtandao | e-Government Authority | eGA Official Website
Wakuu wa Idara/Vitengo Vya TEHAMA Serikalini Wajengewa Uwezo
Fanya hivi kupata nafasi za kazi Serikalini
Huduma za Serikali Kidigitali
Fuatilia kipindi hiki cha Sheria ya Serikali Mtandao ili kujua Matakwa ya sheria hii kwa wadau wa Serikali Mtandao Nchini.
Mfumo wa Bunge Mtandao ulivyosaidia Bunge kipindi cha Covid-19
e-Ticketing yarahisisha utendaji kazi TRC,MSCL na NSSF
Mfumo wa ERMS
ERMS ni mfumo shirikishi wa kusimamia Shughuli na Rasilimali za Taasisi wenye moduli 20 zinazowasiliana na Kuunganisha Shughuli za Idara na Vitengo ndani na kati ya Taasisi.Tazama moduli hizo zinavyofanya kazi.
Majukumu ya Mamlaka ya Serikali Mtandao katika utekelezaji wa Sheria ya Serikali Mtandao 2019
Mamlaka ya Serikali Mtandao inawatakia maadhimisho mema ya Sikukuu ya Muungano
Fuatilia jinsi Sheria ya Serikali Mtandao inavyoleta thamani ya uwekezaji kwenye TEHAMA
Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge, Tawala na Serikali za Mitaa wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti pamoja na watumishi wa Wakala ya Serikali Mtandao DODOMA mara baada ya kikao leo Oktoba 30, 2019
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Kapt. (Mst) George H. Mkuchika (Mb) akielezea manufaa ya TEHAMA kwa Serikali na wananchi wakati wa Kikao na Menejimenti ya Wakala leo Oktoba 30, 2019 katika Makao Makuu ya e-GA DODOMA