MAHABA KUPENDWA KAMA WAZIMU
Hakuna asiyetamani kupendwa, iwe kwa upande wa Mapenzi, Biashara, Kazini, Siasa au Biashara. Jifunze mbinu ya kukufanya ukubalike na upendwa upendo wa ajabu
Hakuna Mwanadamu asiyetamani kupendwa, iwe kwenye masuala ya mahusiano, kazini, Siasa au biashara. Watu wa Pwani wanakwambia, “Kupendwa raha”, na raha ya kupendwa hasa upate yule akupendae. Leo nitakupa bure kabisa ilimu hii bila gharama yeyote ya kukufanya upendwe na mume, mke, mpenzi, mchumba, mwalimu au rafiki. Angalizo hizi mbinu hupaswi kutumia kwa nia ya kumkomoa muhusika. MAHITAJI : NB :…
View On WordPress








