Automatic syringe (sindano). Ili uweze kuchoma dawa kwa uhakika kama ni 0.5ml /2 ml na unawatoto tuseme 10, badala ya kuvuta dawa kila mara unaijaza hio sindano mara moja ukibonyeza tu. Inasoma kile kiwango kamili unachohitaji mchoma mnyama mmoja bila kuzidisha/kupunguza dozi. Hii sindano unaisafisha na kuiweka sehemu kavu mtaitumia shambani mpaka wajukuu na vitukuu wako wataikuta maana ni imara sana. Bei 75,000Tsh #syringe #automatic syringe #vettools #sindano #madawayamifugo #vifaavyamifugo @mifugo_tz tunatoa elimu juu ya ufugaji bora na ufugaji wa kibiashara kwa wajasiliamali wote. Huduma zetu utapata ukiwa mkoa wowote Tanzania au nje ya Tanzania, na bidhaa tunakutumia ukiwa mahali popote. Jiunge nasi kwenye WhatsApp groups ukutane na familia ya wafugaji Kujiunga tutumie jina lako kwenye 0712253102 Kuhusu Kilimo follow @kilimo_tz Kuhusu afya follow @afyakiganjani #TeamWorkDoubleSuccess Tunapatikana Dar es salaam na morogoro, kutupata wasiliana nasi kupitia Simu: +255 712 253 102(WhatsApp) +255 765 291 489 +255 625 994 023 Email: [email protected] #mifugo_tz #mifugo #ufugajiwasungura #sungurawakisasa #sunguratanzani #daressalaam #morogoro #sungurabora #mkojowasungura #bandalasungura #kilimoufugaji #mwanza #arusha #daktariwamifugo https://www.instagram.com/p/B1PEehVAh-s/?igshid=fd4f1g74fsc9













