MNASIHI HALMAAHAURI YA MJI KIBAHA : NJOO NA WENZI WENU KUPIMA VVU/UKIMWI HUDUMA NA ELIMU CAMPAIGN Huduma hii iliandaliwa kwa ushirikiano wa shirika la One health society, WikiElimu, Taasisi ya Health & Wellness iniatives na Kibaha specialized Clinic iliyoko kibaha kwa mfipa 13/3/2021 huduma hii ililenga kutoa elimu na huduma bila malipo kwa wakazi wa kibaha kwa mfipa kwa mambo yafuatayo ◇Uchunguzi na elimu kuhusu uwiano wa uzito na urefu ◇Uchunguzi na elimu kuhusu saratani ya matiti ◇ Uchunguzi na elimu kuhusu tezi dume kwa kutumia PSA ◇ Uchunguzi na elimu kuhusu shinikizo la juu la damu/ presha ◇ Elimu kuhusu Usugu wa vimelea kwa madawa na jinsi ya kuzuia ◇ Uchunguzi na elimu kuhusu homa ya ini na chanjo SUBSCRIBE YOUTUBE YETU WikiElimu NA ENDELEA KITUFUATILIA #Afya #vvu #ukimwi #wikielimu https://www.instagram.com/p/CMatVE2A56E/?igshid=1pdnxpf5zwdbj















