PICHA NA HABARI ZA USIKU WA WASATU, BIRMINGHAM, UINGEREZA, APRILI 28 Jumuiya ya wasanii Watanzania Uingereza (WASATU) ilichemsha supu, ukumbi wa Heartlands , Birmigham, Uingereza Jumamosi iliyopita. Makutano haya yalikuwa pia sehemu ya mchango mahususi kusaidia wasichana wanaopewa mimba kabla ya kuwa watu wazima, kitongoji cha Tengeru, Arusha. Fedha zilikusanywa na mjasiria mali mkazi wa Birmingham, Mtanzania Sia Travel. Sia alijaa mlangoni akihakikisha kila senti iiliyolipwa na wahudhuriaji watashiba chakula , sanaa usiku kucha na kuwafariji vigoli wetu. WASATU iliyoundwa mwaka 2016 chini ya udhamini wa Balozi wetu Uingereza, Mhe Asha Rose Migiro...inaendelea,Habari kamili na picha,fuatana nami kwenye Www.swahilinawaswahili.blogspot.com Shukrani @freddymacha14 #UK#birmingham#Tanzania#watanzania🇹🇿#waswahili#eastafrica#ughaibuni#Wabunifu#Uingereza🇬🇧🇹🇿#wasatu#wasanii#sanaa#mapishiyakitanzania🇬🇧🇹🇿#mimbazautotoni🇹🇿Arusha#UK#lifestyleblogger#mswahili#RachelSiwa🙏🇹🇿🇬🇧❤️👍🏾










