#DW: Kukamatwa viongozi wa upinzani kunakuwa mchezo wa kawaida Tanzania - Jenerali Ulimwengu | Matukio ya Afrika | DW
#DW: Kukamatwa viongozi wa upinzani kunakuwa mchezo wa kawaida Tanzania – Jenerali Ulimwengu | Matukio ya Afrika | DW
[ad_1]
Sasa limekuwa ni jambo la kawaida la kila siku watu kushuhudia kiongozi wa upinzani akikamatwa na polisi kwa tuhuma za makosa yasiyokuwemo katika vitabu vya sheria nchini Tanzania. Ni jambo ambalo limeanza kuzoeleka kwamba wawakilishi wa wananchi – wabunge au madiwani – wanaweza kushikiliwa na vyombo vya usalama bila kujali kabisa wadhifa wao ndani ya jamii wala usahihi wa tuhuma…
View On WordPress













