Buff alien lady save me


#batman#dc#dc comics#tim drake#bruce wayne#batfam#batfamily#dick grayson#dc fanart


seen from Sweden
seen from United States

seen from France
seen from United States
seen from Switzerland

seen from Germany

seen from Netherlands
seen from United States

seen from United States
seen from United States
seen from China
seen from Indonesia

seen from Netherlands

seen from United States
seen from China

seen from Italy

seen from United States

seen from T1
seen from China
seen from Malaysia
Buff alien lady save me
KUHUSU: Ulimwengu na anga Za juu(space)
Ulimwengu(universe) ni jumla ya vitu vyote vilivyopo. Inajumlisha Dunia yetu pamoja na kila kitu ndani yake, jua letu, mfumo wa jua, sayari, nyota, galaksi n.k. Ni jumla ya maada, nishati na anga la Dunia pamoja na anga-nje. Pia ulimwengu(cosmos) niulimwengu unaoonekana kuwa na mpangilio mzuri. Ulimwengu ( Kilatini : universus ) ni anga na wakati na yaliyomo, ikijumuisha sayari , nyota ,…
View On WordPress
virusi vya Korona- mapinduzi ya watuhumiwa dhidi ya Wabrazil na pia katika ulimwengu!
virusi vya Korona- mapinduzi ya watuhumiwa dhidi ya Wabrazil na pia katika ulimwengu!
virusi vya Korona- mapinduzi ya watuhumiwa dhidi ya Wabrazil na pia katika ulimwengu!
Wakati wa wakati wa kupiga kura, kumbuka wale (Wanasiasa) ambao walielekeza maadili kutoka kwa wasaidizi wa umma kupitia ubaya wa wengine – wewe!
Águas de Lindóia, Julai 20, 2020
Nchini Brazil mnamo 2019 tulikuwa na vifo vingi katikati ya janga la coronavirus mnamo 2020, kitu pekee ambacho…
View On WordPress
Je, unamjua Mungu? Huyu ndiye Mungu: Mungu ni mkamilifu milele. Anaishi katika ukamilifu wa milele. Hivyo, kabla ya uumbaji, aliishi katika ukamilifu, baada ya uumbaji, ataishi katika ukamilifu. Ukiichunguza sana hii kauli utajua Mungu ni nani. Mungu ni Muumbaji, aliyekuwapo, aliyepo, na atakayekuwapo. Hapa duniani kuna watu wawili tu: Mungu na wewe! Wengine wote, vingine vyote, wako au viko kisogoni mwako. Nje ya macho yako kuna Nuru. Nuru hiyo ndiye Mungu. Wengine wote, vingine vyote, ni akisi ya taswira ambazo ziko ndani yako; ambazo unatakiwa kuziona nje ili uone umekosea sehemu gani, kusudi uweze kurekebisha dunia yako ya ndani. Wale wanasiasa wanaotuambia kila siku kuwa tulete mabadiliko duniani wanajisumbua iwapo hawatatuambia tulete mabadiliko ndani ya dunia zetu za ndani kwanza. Ukibadilisha dunia yako ya ndani, utabadilisha dunia yako ya nje bila matatizo yoyote. Yesu ni Mfalme wa wafalme, kwa sababu baada ya muda fulani atarudisha ufalme kwa Baba yake. Mungu ni Mfalme wa milele asiyeweza kuonekana wala asiyeweza kufa, 1 Timotheo 1:17, na haonekani kwa faida yetu wenyewe. Kwa nini? Kama Mungu yupo, yuko wapi? Kwa nini asijioneshe ili nasi tumwone? Kama alituumba, kwa nini hatuonani naye uso kwa uso? Kwani tatizo ni nini? Faida ya yeye kutojionesha kwetu ni nini? Mungu hawezi kujionesha kwetu kwa kuwa asili yetu ya ubinafsi itasababisha mtafaruku mkubwa, na matatizo makubwa, dunia nzima. Kila mtu duniani kote atamng’ang’ania, atamtamani sana, na hakuna la maana litakalofanyika. Fikiria tu kuwa Mungu ameonekana Tanzania na ameanzisha kanisa na watu wote duniani kote wameamini hivyo. Kila mtu duniani kote atapenda kwenda kwenye kanisa hilo kwa minajili tu ya kuonana na Mungu. Huo ndiyo mtafaruku ninaouongelea. Aidha, Mungu akijionesha kwetu itakuwa kinyume cha kusudi la maisha; kwani kusudi la maisha ni kuishi naye mbinguni kwa furaha ya milele, na hatutaweza kuishi naye mbinguni iwapo tuliishi naye duniani. Soma zaidi hapa: https://bit.ly/MwenyeziMungu #mungu #god #muumba #creator #ulimwengu #universe https://www.instagram.com/p/BykB1mHB6Hq/?igshid=1k7pl9glcptk
"Life, as we know it, is only possible for a 1000th of a billion, billion, billionth, billion, billion, billionth, billion, billion, billionth of a percent." - Professor Brian Cox - (1/1,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000,000 x 1,000) x 1%. - Yaani, 1/1 kisha ongeza sifuri 81 kisha jibu utakalolipata lizidishe mara 1,000. Jibu utakalolipata lizidishe tena mara 1%. Wajuzi wa hesabu watanisahihisha hapo kama nimekosea. - Huo ndiyo uwezekano wa maisha kuwapo ulimwenguni! Ndiyo maana maisha ni kitu cha ajabu zaidi ulimwenguni. - Msikilize Brian Cox hapa: https://youtu.be/41eV6pHjAzk - -Enock Maregesi, mwandishi wa Kolonia Santita #briancox #maisha #life #ulimwengu #universe https://www.instagram.com/p/Bx28UR0nqjr/?igshid=1qk9q39rgn4zs
Kitu gani unadhani ni cha ajabu zaidi ulimwenguni? - (A): Maisha - (B): Maajabu 7 ya Dunia - (C): Kinga ya sumaku ya Dunia ("magnetosphere") - (D): Mlipuko wa nyota ("supernova") - (E): Ubongo #maisha #life #ulimwengu #universe #magnetosphere #supernova https://www.instagram.com/p/Bx1QkGZn302/?igshid=dwzutj63jons
#TRT: Ulimwengu wa michezo | TRT Swahili Ulimwengu wa michezo Ni mwaka mzima umepita na kumekua na mengi katika ulimwengu wa michezo Kuna walioshinda na kuna walioshindwa…
#TRT: Ulimwengu wa michezo | TRT Swahili Leo katika ulimwengu wa michezo Rafael Nadal amejishindia kombe la 75 sasa. Caroline Garcia amejipatia nafasi ya kwanza duniani…