#DW: Ujerumani yahitaji kuchukua hatua kuzuia wimbi jingine la wahamiaji-Schulz | Matukio ya Kisiasa | DW
#DW: Ujerumani yahitaji kuchukua hatua kuzuia wimbi jingine la wahamiaji-Schulz | Matukio ya Kisiasa | DW
[ad_1]
Mgombea atakayepambana na Angela Merkel katika kinyang’anyiro cha Ukansela nchini Ujerumani Martin Schulz kutoka chama cha Social Democratic SPD ameliambia shirika la habari la Reuters leo Jumapili(23.07.2017)kwamba Ujerumani inahitaji kuchukua hatua sasa za kuzuia kujirudia kile kilichoshuhudiwa mwaka 2015 ambapo wakimbizi 890,000 walimiminika nchini Ujerumani.
Septemba mwaka 2015…
View On WordPress