Korea Kaskazini yazindua kombora jipya na hatari kubwa zaidi kwa Marekani
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un alisimamia onesho hilo la uwezo wa kijeshi. Taifa la Korea Kaskazini limezindua kombora jipya la masafa marefu linaloweza kurushwa kutoka kwa manowari ambalo vyombo vya habari vya vya taifa hilo vimelielezea kuwa kama ‘kombora lenye uwezo mkubwa duniani’. Makombora kadhaa ya aina hiyo yalioneshwa katika gwaride la kijeshi lililosimamiwa na Rais Kim Jong…
View On WordPress














