Tumia mbinu zifuatazo kujijengea uwezo bora wa kujiamini
Ni vigumu kuelezea moja kwa moja kueleza maana ya neno ‘kujiamini’. Lakini mtazamo wa mwanadamu juu ya namna wenzake wanavyomchukulia inaweza kuwa tafsiri ya neno kujiamini. Ikiwa utajilinganisha na wengine na hatimaye kuhisi aibu, ujue unakabiliwa na tatizo la kujiamini. Kimsingi kuna mambo mengi yanayoweza kumfanya mtu asijiamini mbele ya wenzake, kiasi cha kujiona duni na dhaifu kwa namna moja…
View On WordPress














